Here the translation:
Jamaa mpenda wake za watu.
A man (someone, a fellow etc) liked other people’s wives.
Siku moja alikuwa akila uroda na mke wa jirani mtaa wa pili usiku wakati mumewe hayupo.
One day he was making love to a wife from a neighbouring district at night during her husband’s absence.
Ghafla, mume karudi na kuanza kupiga hodi mlango wa mbele.
Suddenly, the husband returned and began knocking at the front door.
Mke kusikia mumewe karudi, kahamaki na kukimbilia kumtoa jamaa kupitia mlango wa nyuma.
The wife heard that her husband had returned, panicked and hurried the man to leave through the back door.
Jamaa alikurupuka mbio, akaruka ukuta akiwa uchi wa mnyama akakimbia hadi myumbani kwake.
The man raced out running, jumped a wall naked like an animal and ran towards his own house.
Alipofika kwa mkewe akamwambia kapigwa na majambazi njiani wakamvua nguo zote na kumwibia kila kitu.
When he got back to his wife he told her that he’d been beaten by thugs on the way home who’d stripped him of all his clothes and stolen everything.
Mkewe akamwambia “pole mpenzi, lakini hawa majambazi si watu wema kabisa , yaani wamekuvua nguo zote na kukuvalisha condom!!!
His wife told him “sorry darling, but these thugs are not nice people, as they have stripped you of all your clothes and put a condom on you!!!